Fuata maagizo yaliyo hapa chini ili usanidi printa yako.
Usanidi wa Maunzi
Angalia mwongozo wa usanidi wa karatasi kwa maelezo kuhusu kusanidi maunzi ya printa, kama vile kujaza wino, au kuweka katriji za wino au kitengo cha kutoa wino na kupakia karatasi.
Usakinishaji wa Viendeshi
Sakinisha viendeshi wakati umemaliza usanidi wa maunzi ya printa. Viendeshi viko kwenye CD hii katika njia zifuatazo:
Kiendeshi cha Printa
\Driver\Printer\Driver
Kiendeshi cha Kichanganuzi (Printa inayoweza kufanya kazi anuwai pekee)
\Driver\Scanner2\Driver
Fax Utility (Printa inayokubali faksi pekee)
\Apps\FaxUtility
PCL au PS3(PostScript3) Kiendeshi cha Printa (Printa inayokubaliwa peke yake):
Baadhi ya vipengele vya uchapishaji havipatikani na viendeshi vya PCL na PS3. Ili utumie vipengele vyote vya uchapishaji, sakinisha kiendeshi cha printa kilichotajwaa hapa juu.
Angalia Mwongozo wa Mtumiaji ili uhakikishe printa yako inakubali PCL au lugha za chapa za PS3, na kisha ufuate maagizo ili usakinishe kiendeshi.
Kiendeshi cha Printa cha PCL
\Driver\PCLUniversal\
au
\Driver\Universal\
Kiendeshi cha Printa ya PS3(PostScript3)
\Driver\PostScript
Muunganisho wa Mtandao na Usanidi
Unganisha kebo ya LAN au utumie paneli thibiti ya printa ili uunganishe kwa njia ya pasi waya kwenye mtandao. Kisha endesha EpsonNet Config ili kusanidi mipangilio ya mtandao.
EpsonNet Config
\Network\EpsonNetConfig
Upakuaji wa Miongozo
Kwa maelezo zaidi ya kina, unaweza kupakua miongozo kutoka kwenye tovuti za auni ya Epson.
http://www.epson.eu/Support (Ulaya)
http://support.epson.net/ (nje ya Ulaya)